Nuru ya Matumaini

Light of Hope Community of Christ

1101 W. Walnut, Independence, Missouri, USA

FURAHA

TUMAINI

UPENDO

AMANI

Nuru ya Matumaini

Tunamtangaza Yesu Kristo na kukuza Jumuia za furaha, tumaini, upendo, na amani.

Ibada za Jumapili @ 10:00 asubuhi
Worship Sundays @ 10:00 a.m.

Mnakaribishwa Nyote

Kwa wale wanaotafuta nyumba ya kiroho,

Jumuia ya Kristo ni jamii

ya imani inayokaribisha,

Yenye upendo, na jamii

ya imani ya kiulimwengu,

Ambayo inathamini thamani ya kila

Mtu kama mtoto wa Mungu na

Hutoa nafasi salama kwako

Kuchunguza na kuimarisha

Uhusiano wako na Yesu Kristo

na kila mmoja.


Katika Jumuia ya Kristo,

Utapokea upendo na

Msaada wakati utagundua

Kusudi jipya la maisha yako

Kupitia huduma ya huruma,

Kama ya Kristo inayomaliza

Mateso na kukuza

Haki na Amani.